Karibu Marine Quality Shoes Products kwa ajili ya Wanafunzi, Tupo SIDO Musoma, Mkoa wa Mara tunazalisha na kuuza jumla na rejareja bidhaa bora za Viatu tunatuma mzigo ukiwa popote Afrika Mashariki. Bei za Kibiashara, utapenda! Tembelea Showroom za HA